Reimagine Oregon ilianza kama mpango wa nchi nzima ulioundwa na mashirika yanayoongozwa na watu Weusi na watu binafsi wanaojitahidi kuondoa ubaguzi wa rangi katika jimbo la Oregon. Mpango wa Reimagine Oregon unajumuisha viongozi wa muungano. Mpango wa Reimagine Oregon unajumuisha wigo mzima, mpana wa usaidizi unaozigatia usawa. Ili upate maelezo zaidi kuhusu Reimagine Oregon, tembelea tovuti yao kwenye reimagineoregon.org

Prosper Portland inaongoza Ruzuku ya Hazina ya Uwekezaji wa Fursa ya Kiuchumi ya Reimagine Oregon, mpango ambao unashirikiana na Reimagine Oregon na unaangazia hasa kuwezesha maendeleo ya kiuchumi na kipengele cha fursa cha mpango wa Reimagine Oregon.