Hapana, pendekezo lako si lazima lihusiane moja kwa moja na biashara za bangi. Linapaswa kuzisaidia jamii ambazo zimeathiriwa kupita kiasi na Marufuku ya Bangi – tazama swali lililo hapa juu upate ufafanuzi.