Reimagine Oregon imekusanya na kubainisha mipango na mapendekezo mengi ya awali. Kwa madhumuni ya Hazina ya Uwekezaji wa Fursa ya Kiuchumi ya Reimagine Oregon, sehemu zifuatazo za mapendekezo hayo zinabainisha moja kwa moja hitaji la kazi ya maendeleo ya kiuchumi:
(Muungano wa Mjini Portland wa Watu Weusi katika Jimbo la Oregon)
Muungano wa Mjini Portland “Wa Watu Weusi wa Jimbo la Oregon” (Sehemu ya 2: Sura ya 4 – Usalama na Ustawi, Sura ya 5 – Kuwakuza Wafanyakazi, Sura ya 6 – Mafanikio na Fursa)
“Mpango wa Watu” Ulioandaliwa na Imagine Black
“Mpango wa Watu” Ulioandaliwa na Imagine Black (Iliyokuwa Jukwaa la Uongozi la Wamarekani wa Asili ya Kiafrika Jijini Portland)(Sura ya Mada kuhusu “Maendeleo ya Kiuchumi: Kuhuisha Uchumi wa Jamii ya Watu Weusi na Kuwaadhimu Wafanyakazi Weusi”)
Ripoti za Muungano wa Jamii za Watu Weusi
Ripoti za Muungano wa Jamii za Rangi (“Communities of Color in Multnomah County: An Unsettling Profile,” na “Leading with Race: Research Justice in Washington County”)